Simba Sports Club imecheza mchezo wake wa kwaza katika kombe la shirikisho barani Afrika ikianzia ugenini, mwenyeji wake akiwa Al ahly Tripoli ya nchini Libya. Katika mchezo huo Simba Sc, imefanikiwa kuibana mbavu Al Ahly Tripoli kwa sare ya 0-0. Kwa matokeo haya je, Simba Sc atakuwa amejiweka katika nafasi salama katika mechi ya marudiano Benjamin Mkapa? Karibu utoe maoni yako.
simba Sc yaibana mbavu Al Ahly Tripoli nyumbani
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni