ASIYE KUWEPO NA LAKE HALIPO! Hii ni kauli ya meneja habari na mawasiliano wa klabu ya Simba, Ahmed Aly alipokuwa akijibu swali kutoka kwa mchambizi wa masuala ya michezo ndugu M. Nyamaka Ahamed_Aly_azungumzia_Sakata_la_Lameck_lawikuhisiana na sakata la Lameck Lawi. Ahmed Aly alisema kuwa, sisi Simba sports Club tumesha kwisha sahau suala la Lameck Lawi hivyo ni vyema hata nanyi wandishi na wachambuzi wa michezo mkalisahua jambo hilo, kwani tayari Coast Union walisha rudisha fedha zote katika akaunti ya Simba Sports Club. Kwa mantiki hiyo sisi hatuwezi kumtegemea mchezaji ambaye hayupo na Asiyekuwepo na lake halipo! Hii ni kauli ya Ahmed Aly, Je, wewe unasemaje kuhisiana na taarifa hii? Toa maoni yako.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
SIMBA SC YAIBANA MBAVU AL AHLY TRIPOLI
Simba Sports Club imecheza mchezo wake wa kwaza katika kombe la shirikisho barani Afrika ikianzia ugenini, mwenyeji wake akiwa Al ahly Trip...

-
ASIYE KUWEPO NA LAKE HALIPO! Hii ni kauli ya meneja habari na mawasiliano wa klabu ya Simba, Ahmed Aly alipokuwa akijibu swali kutoka kwa...
-
Klabu ya Simba leo Agosti 31 imecheza mechi yake ya kirafiki ya kimataifa na Klabu ya Al Hilal ya nchini Sudani na kutoshana nguvu kwa sare...
-
Simba Sports Club imecheza mchezo wake wa kwaza katika kombe la shirikisho barani Afrika ikianzia ugenini, mwenyeji wake akiwa Al ahly Trip...
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni