Jumapili, 15 Septemba 2024

SIMBA SC YAIBANA MBAVU AL AHLY TRIPOLI

 Simba Sports Club imecheza mchezo wake wa kwaza katika kombe la shirikisho barani Afrika ikianzia ugenini, mwenyeji wake akiwa Al ahly Tripoli ya nchini Libya.  Katika mchezo huo Simba Sc, imefanikiwa kuibana mbavu Al Ahly Tripoli kwa sare ya 0-0.   Kwa matokeo haya je, Simba Sc atakuwa amejiweka katika nafasi salama katika mechi ya marudiano Benjamin Mkapa?    Karibu utoe maoni yako.



simba Sc yaibana mbavu Al Ahly Tripoli nyumbani

Jumatatu, 2 Septemba 2024

AHAMED ALY, ASIYE KUWEPO NA LAKE HALIPO.

 ASIYE KUWEPO NA LAKE HALIPO!  Hii ni kauli ya meneja habari na mawasiliano wa klabu ya Simba, Ahmed Aly  alipokuwa akijibu swali kutoka kwa mchambizi wa masuala ya michezo ndugu M. Nyamaka Ahamed_Aly_azungumzia_Sakata_la_Lameck_lawikuhisiana na sakata la Lameck Lawi.  Ahmed Aly alisema kuwa, sisi Simba sports Club tumesha kwisha sahau suala la Lameck Lawi hivyo ni vyema hata nanyi wandishi na wachambuzi wa michezo mkalisahua jambo hilo, kwani tayari Coast Union walisha rudisha fedha zote katika akaunti ya Simba Sports Club.  Kwa mantiki hiyo sisi hatuwezi kumtegemea mchezaji ambaye hayupo na Asiyekuwepo na lake halipo! Hii ni kauli ya Ahmed Aly, Je, wewe unasemaje kuhisiana na taarifa hii?   Toa maoni yako.

SIMBA SC YAIBANA MBAVU AL AHLY TRIPOLI

 Simba Sports Club imecheza mchezo wake wa kwaza katika kombe la shirikisho barani Afrika ikianzia ugenini, mwenyeji wake akiwa Al ahly Trip...