Klabu ya Simba leo Agosti 31 imecheza mechi yake ya kirafiki ya kimataifa na Klabu ya Al Hilal ya nchini Sudani na kutoshana nguvu kwa sare bao 1-1. Mchezo huo ulichezwa majira ya saa 10:00 jioni katika dimba la Kmc Mwenge jijini Dare s-salaam. Je, mchezo huu ni kipimo tosha kwa klabu ya Simba kuelekea mchezo wake wa kimataifa atakao cheza na Al Ahly Tripol ya nchini Libya? Tupe maoni
![]() |
Simba Sc 1-1 AlHilal Fc. |
yako.